/*URL: http://www.AllBlogTools.com/ */ .basictab{ padding: 3px 0; margin-left: 0; font: bold 12px Verdana; border-bottom: 1px solid gray; list-style-type: none; text-align: left; /*set to left, center, or right to align the menu as desired*/ } .basictab li{ display: inline; margin: 0; } .basictab li a{ text-decoration: none; padding: 3px 7px; margin-right: 3px; border: 1px solid gray; border-bottom: none; background-color: #f6ffd5; color: #2d2b2b; } .basictab li a:visited{ color: #2d2b2b; } .basictab li a:hover{ background-color: #DBFF6C; color: black; } .basictab li a:active{ color: black; } .basictab li.selected a{ /*selected tab effect*/ position: relative; top: 1px; padding-top: 4px; background-color: #DBFF6C; color: black; }

Friday, November 9, 2012

KITUKO CHA WIKI

kuna jamaa mmoja alipokuwa akisafiri mke wake analalamika kuwa anaogopa kulala peke yake huku akimuuliza kuwa atarudi lini,isku moja wameketi mezani kwaajili ya chakula familia nzima yaani huyo jamaa,mke wake,dada wakazi na mtoto wao mmoja.
MWANAUME=mke wangu wewe nimuoga sana na uoga wako umezidi
MWANAMKE=kwanini umesema hivyo?
MWANAUME=unaogopa kulala peke yako humu ndani!
MTOTO=baba wewe ni muoga sana kuliko mama kwasababu ukisafiri mama ananichukua mimi nalalanae chumbani,wewe mama akisafiri unanchukua dada{mfanyakazi}unalalanae chumbani uoni wewe ndio muoga dada ni mkubqa mimi ni mdogo?wote wakabaki midomo wazi

No comments:

Post a Comment