/*URL: http://www.AllBlogTools.com/ */ .basictab{ padding: 3px 0; margin-left: 0; font: bold 12px Verdana; border-bottom: 1px solid gray; list-style-type: none; text-align: left; /*set to left, center, or right to align the menu as desired*/ } .basictab li{ display: inline; margin: 0; } .basictab li a{ text-decoration: none; padding: 3px 7px; margin-right: 3px; border: 1px solid gray; border-bottom: none; background-color: #f6ffd5; color: #2d2b2b; } .basictab li a:visited{ color: #2d2b2b; } .basictab li a:hover{ background-color: #DBFF6C; color: black; } .basictab li a:active{ color: black; } .basictab li.selected a{ /*selected tab effect*/ position: relative; top: 1px; padding-top: 4px; background-color: #DBFF6C; color: black; }

Sunday, October 21, 2012

HEADLINES BONGO5

Lord Eyez bado anashikiliwa na polisi

Habari kubwa weekend hii kwenye website, blogs za burudani na mitandao
ya kijamii nchini ni kuhusiana na tukio la rapper wa kundi la Nako 2
Nako, Lord Eyez kudaiwa kuhusika kwenye wizi wa baadhi ya vifaa vya
gari la msanii mwenzie Ommy Dimpoz... Read more..bongo5.com

Tundaman kusimamia kazi za Chidi Benz, asema 'nimejipanga kumrudisha
Chidi kama zamani'

Kupitia blog yake, muimbaji Khalid Ramadhan Tunda aka Tundaman
ametangaza kuwa yeye ndiye msimamizi rasmi wa kazi za rapper Chidi
Benzi kwa sasa.. Read more...

Lord Eyez akamatwa kwa kuiba spea za gari la Ommy Dimpoz


Jana msanii Ommy Dimpoz aliandika kupitia twitter na BBM:

"wezi wa power windows wakiongozwa na msanii mwenzangu wa bongo flava
Lord Eyez ndo wameiba mpaka plate number tumeshamkamta"... Read
more...


Exclusive: Chris Brown anaweza kutua Tanzania mwezi December


Unakumbuka tuliwahi kuandika kuwa baada ya Rick Ross kupiga show
kwenye Fiesta mwaka huu kuna msanii mwingine mkubwa anaweza kuja
Tanzania hivi karibuni? Well, msanii huyo anaweza kuwa ni Chris Brown.
Read more..

Lucci has a new studio

Tanzania unsung Producer Luciano Tsere popularly known as LucciDaDon
has finally settled on his very own studio which is located around
Mbezi, a city suburb in Dar-Es-Salaam.

Read more bongo5.com

Linked by Da Legendary Afrodino

Saturday, October 20, 2012

KITUKO CHA WIKI "Muuza Karanga"

Bosi alikuwa anapitapita kukagua Site yake ya Ujenzi huku wafanya kazi
wengi wakiwa Bize mno.
Katika pitapita mara akamuona Kijana mmoja ameegemea ukuta alafu
anasinzia,,Bosi akachukia Sana akamshtua yule kijana pale chini kwa
hasira na kumuuliza "Unafanya nini hapo?" Wakati kijana akijiandaa
kujibu bosi akamdaka swali lingine "Kwani unapata shilingi ngapi kwa
mwezi?" Kijana kwa woga akajibu "Elfu Hamsini (50,000)"
Kusikia vile Bosi akafungua pochi lake na kutoa Laki Moja (100,000)
kisha akamkabidhi na kumwambia haya potea sitaki Vijana wazembe eneo
langu la kazi..Yule kijana huku kwa wasiwasi akaondoka,
Bosi akamwita kijana mwingine aliye jirani anaendelea na kazi kisha
akamuuliza "Hivi yule kijana aliyekaa hapa alikuwa anafanya kazi
gani?"
Kijana akajibu "Yule ni muuza KARANGA huwa anapita hapa kila siku"
* * * * * * * * * *

BONGO5 HEADLINES

Waliyoandika mastaa kuhusiana na vurugu za Dar

Kwa zaidi ya saa nne mada kwenye mitandao ya kijamii kuanzia mchana
ilikuwa ni hali ya vurugu iliyokuwa ikiendelea katika maeneo
mbalimbali ya Dar es Salaam baada ya waislam kufanya maandamano katika
maeneo hayo... more at www.bongo5.com

Kariakoo palichafuka, mabomu yakapigwa kila kona

Habari zilizotufikia leo zilidai kuwa kulikuwa na hali mbaya katika
maeneo ya Kariakoo jijini Dar e Salaam ambapo polisi walipiga mabomu
ya machozi kutawanya waislam walioandamana.

Kwa mujibu wa watu waliopo kwenye maeneo hayo maduka mengi yalifungwa
na watu walijifungia kwenye maduka hayo.. Read more...

Ukweli kuhusu picha za Aunt Ezekiel zinazomuonesha kwenye vazi la Bibi Harusi

Kuanzia jana zimesambaa picha za muigizaji mahiri wa filamu nchini
Tanzania, Aunt Ezekiel zinazomuonesha akiwa amevaa nguo za Bibi Harusi
katika ndoa ya kiislam na huku akiweka saini kwenye kitabu.

Picha hizo zimesababisha blogs na website nyingi kuandika kwa mashaka
kuwa ni kweli msanii huyo ameolewa?... Read more...

Song : Kamikaze ft Sharobaro – Utamu wa Chocolate

Hii ngoma imefanyika katika studio za Sharabaro Records. Listen here...

Nisha wa Bongo Movies arekodi wimbo kuhusu maisha yake

Muigizaji wa filamu aliyehamia pia kwenye muziki wa Bongo Flava,
Nisha, ameachia wimbo mpya ambao ameutumia kuzungumzia maisha yake.

Wimbo huo unaitwa 'Ukweli Ndio Dawa'.. Read more...

Billboard ya Kidoti Hair yaingia mtaani

Ukiambiwa kutaja majina ya wajasiriamali wapya na vijana nchini,
hutakiwi kuacha kumtaja Jokate Mwegelo. Mrembo na VJ huyu wa Channel
O, hivi karibuni ameingiza bidhaa zake za nywele zilizochini ya jina
la Kidoti... Read more...

TPF5 wazindua album ya Top 10

Kampuni ya East Africa Breweries pamoja na universal Music Group
waliandaa hafla maalum ya kuzindua album ya Tusker Project Fame Season
5 Top Ten, ambayo ilifanyika jana usiku katika hoteli ya kitalii Tribe
jijini Nairobi. Read more...

Flaviana Matata kwenye jarida la Schön! La Uingereza

Miss Universe wa zamani Flaviana Matata hivi karibuni akiwa na warembo
wengine , Stella Vaudran na Tiara Young walishirikishwa kwenye jarida
maarufu la fashion la Schön!
Jarida hilo lina makao yake makuu nchini Uingereza na hutoka kila
mwezi na lilianzishwa June 2009. Read more...

Size 8 ajitoa kwenye tuzo za Kisima

Muimbaji wa kike wa nchini Kenya Size 8 amekuwa msanii wa tatu
kutangaza kujiondoa kwenye tuzo za Kisima baada DNA na Daddy Owen
kutangaza wiki iliyopita.

Read more
on bongo5.com

Friday, October 12, 2012

KITUKO CHA WIKI

SHIDA KITU KIBAYA USIIENDEKEZE:

Mzee mmoja aliongozana na binti yake kwenda kwa mwanaume aliyempa mimba binti yake huku akitweta kwa hasira na kusema kimoyomoyo "leo huyu kijana atanitambua".
Walipofika ilikuwa hivi,
KIJANA> Mzee ni kweli nimempa mimba bintiyo lakini naahidi Kama atazaa DUME nitakupa daladala 10 Sheli 3 na Milioni 50..Kama akizaa jike nitakupa Supermarket 3 Mashamba 6 na Milioni 40.
Binti aliyepewa mimba akasema  "honey Kama Mimba Ikiharibika je?
MZEE akadakia "Kelele pumbavu mkubwa wewe,Ikiharibika si atakupa nyingine.....

Vurugu zazuka kati ya polisi na kundi la Waislam Dar Es Salaam Octoba 12 2012

Tuesday, October 2, 2012

* * ** *"Asante mungu wa mbinguni kwa kunipa mwaka mwingine katika maisha yangu,kupitia marehemu baba yangu mchungaji misheli singoye na mama yangu mpendwa frazia, niko katika dunia hii mpaka leo,ninawashukuru kwa kunilea mpaka nilipoweza anza maisha mapya ya ndoa na mume wangu mpendwa edmund msangi,nawapenda wanangu kelvin&larry mungu awakuze mfikie umri wangu,dada na kaka zangu pamoja na marafiki zangu wa kweli mmekuwa nguzo yangu ,thank you all ".# Angella Michael Ms Msangi