/*URL: http://www.AllBlogTools.com/ */ .basictab{ padding: 3px 0; margin-left: 0; font: bold 12px Verdana; border-bottom: 1px solid gray; list-style-type: none; text-align: left; /*set to left, center, or right to align the menu as desired*/ } .basictab li{ display: inline; margin: 0; } .basictab li a{ text-decoration: none; padding: 3px 7px; margin-right: 3px; border: 1px solid gray; border-bottom: none; background-color: #f6ffd5; color: #2d2b2b; } .basictab li a:visited{ color: #2d2b2b; } .basictab li a:hover{ background-color: #DBFF6C; color: black; } .basictab li a:active{ color: black; } .basictab li.selected a{ /*selected tab effect*/ position: relative; top: 1px; padding-top: 4px; background-color: #DBFF6C; color: black; }

Saturday, October 20, 2012

BONGO5 HEADLINES

Waliyoandika mastaa kuhusiana na vurugu za Dar

Kwa zaidi ya saa nne mada kwenye mitandao ya kijamii kuanzia mchana
ilikuwa ni hali ya vurugu iliyokuwa ikiendelea katika maeneo
mbalimbali ya Dar es Salaam baada ya waislam kufanya maandamano katika
maeneo hayo... more at www.bongo5.com

Kariakoo palichafuka, mabomu yakapigwa kila kona

Habari zilizotufikia leo zilidai kuwa kulikuwa na hali mbaya katika
maeneo ya Kariakoo jijini Dar e Salaam ambapo polisi walipiga mabomu
ya machozi kutawanya waislam walioandamana.

Kwa mujibu wa watu waliopo kwenye maeneo hayo maduka mengi yalifungwa
na watu walijifungia kwenye maduka hayo.. Read more...

Ukweli kuhusu picha za Aunt Ezekiel zinazomuonesha kwenye vazi la Bibi Harusi

Kuanzia jana zimesambaa picha za muigizaji mahiri wa filamu nchini
Tanzania, Aunt Ezekiel zinazomuonesha akiwa amevaa nguo za Bibi Harusi
katika ndoa ya kiislam na huku akiweka saini kwenye kitabu.

Picha hizo zimesababisha blogs na website nyingi kuandika kwa mashaka
kuwa ni kweli msanii huyo ameolewa?... Read more...

Song : Kamikaze ft Sharobaro – Utamu wa Chocolate

Hii ngoma imefanyika katika studio za Sharabaro Records. Listen here...

Nisha wa Bongo Movies arekodi wimbo kuhusu maisha yake

Muigizaji wa filamu aliyehamia pia kwenye muziki wa Bongo Flava,
Nisha, ameachia wimbo mpya ambao ameutumia kuzungumzia maisha yake.

Wimbo huo unaitwa 'Ukweli Ndio Dawa'.. Read more...

Billboard ya Kidoti Hair yaingia mtaani

Ukiambiwa kutaja majina ya wajasiriamali wapya na vijana nchini,
hutakiwi kuacha kumtaja Jokate Mwegelo. Mrembo na VJ huyu wa Channel
O, hivi karibuni ameingiza bidhaa zake za nywele zilizochini ya jina
la Kidoti... Read more...

TPF5 wazindua album ya Top 10

Kampuni ya East Africa Breweries pamoja na universal Music Group
waliandaa hafla maalum ya kuzindua album ya Tusker Project Fame Season
5 Top Ten, ambayo ilifanyika jana usiku katika hoteli ya kitalii Tribe
jijini Nairobi. Read more...

Flaviana Matata kwenye jarida la Schön! La Uingereza

Miss Universe wa zamani Flaviana Matata hivi karibuni akiwa na warembo
wengine , Stella Vaudran na Tiara Young walishirikishwa kwenye jarida
maarufu la fashion la Schön!
Jarida hilo lina makao yake makuu nchini Uingereza na hutoka kila
mwezi na lilianzishwa June 2009. Read more...

Size 8 ajitoa kwenye tuzo za Kisima

Muimbaji wa kike wa nchini Kenya Size 8 amekuwa msanii wa tatu
kutangaza kujiondoa kwenye tuzo za Kisima baada DNA na Daddy Owen
kutangaza wiki iliyopita.

Read more
on bongo5.com

No comments:

Post a Comment