/*URL: http://www.AllBlogTools.com/ */ .basictab{ padding: 3px 0; margin-left: 0; font: bold 12px Verdana; border-bottom: 1px solid gray; list-style-type: none; text-align: left; /*set to left, center, or right to align the menu as desired*/ } .basictab li{ display: inline; margin: 0; } .basictab li a{ text-decoration: none; padding: 3px 7px; margin-right: 3px; border: 1px solid gray; border-bottom: none; background-color: #f6ffd5; color: #2d2b2b; } .basictab li a:visited{ color: #2d2b2b; } .basictab li a:hover{ background-color: #DBFF6C; color: black; } .basictab li a:active{ color: black; } .basictab li.selected a{ /*selected tab effect*/ position: relative; top: 1px; padding-top: 4px; background-color: #DBFF6C; color: black; }

Saturday, September 29, 2012

KITUKO CHA WIKI

Mzungu mmoja alipita na sokwe wake karibu na Muuza ndizi
Mara yule sokwe akapora ndizi moja na kuila..Muuza ndizi akakasirika na kumwambia mzungu "Unaona eeh dudu lako limepora ndizi yangu lazima unilipe"
Mzungu akajibu "Acha kumaindi vitu vidogo wewe ndizi kala ndugu yako mi nikulipe nini je angekula mtu baki?"
Basi yule mzungu akatoka kidogo na kumuacha sokwe pale kwa muuza ndizi
. . .Aliporudi akamkuta sokwe wake kafa ikabidi aanze kufoka kwa hasira "khaa we muuza ndizi kwanini umemuua sokwe wangu?"
Muuza ndizi akajibu "Ni mambo ya kifamilia mimi na ndugu yangu we hayakuhusu"

No comments:

Post a Comment