Jina lake kamili ni John Robert Leonetti.
Amezaliwa Julai 4,1956 huko California Marekani.
KAZI YAKE
Ni mchukuaji wa picha/video za filamu ''Cinematographer'' Pia ni Muongozaji wa filamu ''Direcctor''
Alianza rasmi kujikita kwenye masuala ya filamu mnamo mwaka 1991.Amekuwa kama directer kwenye filamu 1(Insidious),Kama mchukua picha kwenye filamu 33,Kama director kwenye filamu 4.
FILAMU ALIZOFANYIA KAZI KAMA CINEMATOGRAPHER
*Dead silence 2007
*Death sentence 2007
*Piranha 3D 2010
*Soul surfer 2011
*Child's play 3 1991
*The scorpion king 2002
*The Mask 1994
*Spy hard 1996
*..............
Pia The Butterfly Effect na Mortal Kombat Annihilation kama Director pamoja na Mortal Kombat part 1 kama director of photography.
TRIVIA
*Leonetti ni ndugu wa mtayarishaji mwingine aitwaye Mathew F. leonetti
*Mwanachama wa American Society of Cinematographers ASC tangia 2003
...................
No comments:
Post a Comment