Mzee mmoja aliongozana na binti yake kwenda kwa mwanaume aliyempa mimba binti yake huku akitweta kwa hasira na kusema kimoyomoyo "leo huyu kijana atanitambua".
Walipofika ilikuwa hivi,
KIJANA> Mzee ni kweli nimempa mimba bintiyo lakini naahidi Kama atazaa DUME nitakupa daladala 10 Sheli 3 na Milioni 50..Kama akizaa jike nitakupa Supermarket 3 Mashamba 6 na Milioni 40.
Binti aliyepewa mimba akasema "honey Kama Mimba Ikiharibika je?
MZEE akadakia "Kelele pumbavu mkubwa wewe,Ikiharibika si atakupa nyingine.....
No comments:
Post a Comment