Saturday, October 20, 2012
KITUKO CHA WIKI "Muuza Karanga"
Bosi alikuwa anapitapita kukagua Site yake ya Ujenzi huku wafanya kazi
wengi wakiwa Bize mno.
Katika pitapita mara akamuona Kijana mmoja ameegemea ukuta alafu
anasinzia,,Bosi akachukia Sana akamshtua yule kijana pale chini kwa
hasira na kumuuliza "Unafanya nini hapo?" Wakati kijana akijiandaa
kujibu bosi akamdaka swali lingine "Kwani unapata shilingi ngapi kwa
mwezi?" Kijana kwa woga akajibu "Elfu Hamsini (50,000)"
Kusikia vile Bosi akafungua pochi lake na kutoa Laki Moja (100,000)
kisha akamkabidhi na kumwambia haya potea sitaki Vijana wazembe eneo
langu la kazi..Yule kijana huku kwa wasiwasi akaondoka,
Bosi akamwita kijana mwingine aliye jirani anaendelea na kazi kisha
akamuuliza "Hivi yule kijana aliyekaa hapa alikuwa anafanya kazi
gani?"
Kijana akajibu "Yule ni muuza KARANGA huwa anapita hapa kila siku"
* * * * * * * * * *

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment