Jina lake kamili ni Edward Regan Murphy.
Amezaliwa mnamo April 3, 1961 Brooklyn, New York Marekani.
KAZI YAKE
Ni mwigizaji, Mchekeshaji, Mwimbaji na ni Muandaaji wa filamu
MAISHA YAKE KWA UFUPI
Akiwa ni mtoto wa Lilian na Charles Edward Murphy, Eddie alivutiwa na tasnia ya sanaa ya Vichekesho tangu utotoni mwake huku akivutiwa sana na mchekeshaji Bill Cosby. Jina lake lilianza kuwa maarufu baada ya kufanya vizuri kwenye show ya Saturday Night Live miaka ya 1980's
FILAMU ALIZOSHIRIKI
Tower Heist - 2011 (Slide)
Imagine That - 2009 (Evan Danielson)
I Spy - 2002 (Kelly)
Holy Man - 1998 (G)
Norbit - 2007 (Muandaaji)
Ameshiriki pia mfululizo wa filamu ya SHREK kama sauti ya Donkey kati ya 2001 - 2010.. Ameshirika filamu nyingine nyingi pamoja na show za Televisheni kama Father of the Pride (2004), The PJs nk.
TUZO
Golden Globes (2007) - Filamu DreamGirls (2006)
AAFCA (2006) - Filamu DreamGirls (2006)
Annie Awards (2001) - Filamu Shrek (2001)
Image Awards (1983) - Trading places (1983)
Pia ametajwa (Nominated) na kushinda tuzo nyingine nyingi.
TRIVIA
Eddie amefanya ameshirikiana (Collaborated) na Msanii Shaba Ranks kwenye wimbo uitwao ''I was a King'', Ameimba wimbo ''Red Light'' akimshirikisha Snoop Lion, Moja kati ya nyimbo za kukumbukwa za Eddie Murphy ni ''How could it Be''.
No comments:
Post a Comment