Monday, November 26, 2012
Friday, November 9, 2012
KITUKO CHA WIKI
kuna
jamaa mmoja alipokuwa akisafiri mke wake analalamika kuwa anaogopa
kulala peke yake huku akimuuliza kuwa atarudi lini,isku moja wameketi
mezani kwaajili ya chakula familia nzima yaani huyo jamaa,mke wake,dada
wakazi na mtoto wao mmoja.
MWANAUME=mke wangu wewe nimuoga sana na uoga wako umezidi
MWANAMKE=kwanini umesema hivyo?
MWANAUME=unaogopa kulala peke yako humu ndani!
MTOTO=baba wewe ni muoga sana kuliko mama kwasababu ukisafiri mama
ananichukua mimi nalalanae chumbani,wewe mama akisafiri unanchukua
dada{mfanyakazi}unalalanae chumbani uoni wewe ndio muoga dada ni mkubqa
mimi ni mdogo?wote wakabaki midomo wazi
MSHINDI WA EPIQ BONGO STAR SEARCH 2012
walter chilambo ndiye mshindi wa epiq bongo star search 2012
The Legendary Afrodino
Subscribe to:
Posts (Atom)