/*URL: http://www.AllBlogTools.com/ */ .basictab{ padding: 3px 0; margin-left: 0; font: bold 12px Verdana; border-bottom: 1px solid gray; list-style-type: none; text-align: left; /*set to left, center, or right to align the menu as desired*/ } .basictab li{ display: inline; margin: 0; } .basictab li a{ text-decoration: none; padding: 3px 7px; margin-right: 3px; border: 1px solid gray; border-bottom: none; background-color: #f6ffd5; color: #2d2b2b; } .basictab li a:visited{ color: #2d2b2b; } .basictab li a:hover{ background-color: #DBFF6C; color: black; } .basictab li a:active{ color: black; } .basictab li.selected a{ /*selected tab effect*/ position: relative; top: 1px; padding-top: 4px; background-color: #DBFF6C; color: black; }

Saturday, September 29, 2012

KITUKO CHA WIKI

Mzungu mmoja alipita na sokwe wake karibu na Muuza ndizi
Mara yule sokwe akapora ndizi moja na kuila..Muuza ndizi akakasirika na kumwambia mzungu "Unaona eeh dudu lako limepora ndizi yangu lazima unilipe"
Mzungu akajibu "Acha kumaindi vitu vidogo wewe ndizi kala ndugu yako mi nikulipe nini je angekula mtu baki?"
Basi yule mzungu akatoka kidogo na kumuacha sokwe pale kwa muuza ndizi
. . .Aliporudi akamkuta sokwe wake kafa ikabidi aanze kufoka kwa hasira "khaa we muuza ndizi kwanini umemuua sokwe wangu?"
Muuza ndizi akajibu "Ni mambo ya kifamilia mimi na ndugu yangu we hayakuhusu"

Monday, September 17, 2012

VIOJA MSIBANI

Ilikuwa msibani ndugu jamaa na marafiki walipata fursa ya kueleza namna walivyoguswa na kuupokea msiba.
Miongoni mwa watu waliopata fursa hiyo alikuwa ni Mmakonde aliyetambulika kwa jina la Mududu Malekebo alisimama na kuanza kwa kusema "Msiba ooyeee!!"
Watu wote wakaguna na kulalamaa "aaah huyu vipi!!" Bwana Malekebo hakujali akaendelea kwa kusema "Marehemu suti zimempendeza hazijampendeza???. . .Kilichofuata wenye uchungu na kufiwa wakamdaka kumvuta chemba na kumpa kisago kizito.

Sunday, September 16, 2012

BANGI SI MCHEZO

Jamaa kaikoleza bangi si ikamtuma avue nguo!! Akavua nguo zote akaenda kwenye kioo kujitazama akajiona kama kavaa suti
Kisha akatoka nje kama alivyo mpaka kijiweni kwa masela wenzake kisha akawauliza "Oya vipi wanangu hii suti vipi nimetoka shikopa eeh" Msela mmoja akajibu "Daah imekutoa ila TAI umeifunga chini sana"

SoloThang "I Am Travellah": Solo Thang "MISS TANZANIA"

SoloThang "I Am Travellah": Solo Thang "MISS TANZANIA"